Shilole azindua lebo yake ya ‘Shishi Gang’ na kutambulisha msanii, Baba levo msemaji na msanii wake ntamsaini (+Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialshilole siku ya jana alitambulisha lebo yake mpya ya @shishi_gang_family na kutambulisha msanii mpya.

Akiongea na wana habari @officialshilole ameeleza kuwa lebo hiyo hiyo itakuwa inafanya ammabo mengi na sio muziki tu.

Pia ameongeza kuwa katika lebo hiyo @officialbabalevo ndio msemaji wake ingawa hakuwepo “Hata msanii wa @officialbabalevo ntamsaini kwenye lebo yangu tuko kwenye mazungumzo.

Mbali na hilo @officialshilole alitambulisha msanii mpya wa lebo hiyo na kueleza yafuatayo.

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*