Ni kosa kurushiana wimbo wa msanii bila idhini yake, miaka 5 jela au faini milioni 5 – Polisi

Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Kinondoni, Dkt Ezekiel Kiongo amewataka wasanii kuanza kulinda kazi zao kwa kutoa taarifa kwa nyombo vya sheria pale wanapoona kazi zao za sanaa zimetumika bila makubaliano yoyote.

Amesema hayo Alhamisi hii muda mchache baada ya kutoa elimu kwa wadau wa sanaa kwenye jukwa la Sanaa linaloandaliwa na @bass ta.tanzania juu ya umuhimu wa wasanii kutambua wajibu wao wa kushirikiana na vyombo vya sheria ili kuhakikisha kazi zao zinalindwa. Je! Inachukua Nini kwa Wamiliki wa nyimbo Kupata Mapato

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*

Top music