NEXT CHAPTER (Body Tight -Feat – Mugeez)

Haija poa ndio kwanza wamewasha kuanzia jana, Huku wakiwa wamesimama wima NavyMob tutafutane tena AUG 14, Ngoma Mpya NavyKenzo wakimshirikisha mkali kutoka Ghana Body Tight Feat Mugeez,

Ngoma itakayo toka mwezi huu sambamba na ya Bampa 2 Bampa iliyo toka jana wakiwa wamefungua na The African Princess Nandy kutoka Tanzania

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*