Je! Inachukua Nini kwa Wamiliki wa nyimbo Kupata Mapato

Kwa sasa mzikitap huwalipa wasanii kwa kupitia malipo ya matangazo, kazi ya msanii italipwa kutoka kwa watu walio sikiliza, mzikitap wanalipa wasanii kwa malipo mawili katika mwaka ambayo ni mwanzoni mwa mwaka na mwishoni mwa mwaka. ila kila baada ya miezi mitatu msanii atapatiwa matokeo ya kazi yake ambayo yamepatikana katika miezi hiyo ambayo kazi imewekwa.

Kazi ya msanii haito takiwa kuwepo kwenye mtandao wowote ambao unamatokeo yanayo endana na mzikitap. na ikitokea ikaonekana hivyo basi msanii kazi yake itaondolewa kwenye mtandao wetu.

Mzikitap pia itachukua tahadhali ya kuilinda kazi ya msanii na kama ikiwa kuna mitandao mengine inataka kazi hiyo basi itasimamiwa na mzikitap.

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*

Top music