Je! Hii Inafanyaje Kazi kwa Wasanii?

Asilimia kubwa za takwimu ambazo mwaka ulio pita tulizipata ni asilimia kubwa ya wasanii wa mziki wanatengeneza kazi kubwa lakini wakiwa na asilimia 0% ya malipo yao ya kazi kupitia mitandao ambayo hupeleka kazi zao 
Wasanii wengi huetengeneza kazi bila kuwa na mlolongo wa kazi ambazo wao wanatakiwa ziwalipe bila kuangalia ukubwa wa watu walio nao au udogo wa watu walio nao 

Wasanii wengi wamekuwa wakitegemea muziki bila kutambua ukubwa wa kitu wanacho kitenda kwani kwanza hulipia kazi zao kuweko katika mitandao mbali mbali, pili kupitia mitandao hiyo pia hawapati asilimia yeyote ya malipo ambayo yanatokana na kazi zao

Ziada: Tumewekeza kwenu nanyi pia muwekeze katika kila hatua ya kazi mnazo zitengeneza kwani ndio mahala mlipo chagua.

Wasanii kupitia mzikitap watapata haki yao kwakila hatau wakiwa nasi kwani kazi ya msanii itakayo kuwa imesainiwa katika hakimiliki chini ya mzikitap msanii atapata malipo yake kwa kila mtandao ambao wame iweka kazi yake.

Mfano; Msanii ame weka kazi yake katika mtandao wetu na pia kuna mitandao ambayo inataka kuweka kazi yake basi kupitia mitandao hiyo tutahakikisha tunamkusanyia mapato yake yote na pia kumlipa mapato ambayo yanapatika kwetu

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*

Top music