Diamond na Koffi Olomide wame share clip wakiwa location ku shot video (+ Video)

Baada ya kutua Bongo Koffi Olomide na kutangaza kuwa atafanya collabo na Diamond Platnumz, tayari kuanzia jana walionekana wakiwa studio wakiwa kwenye maandalizi ya ngoma yao.

Leo kupitia ukurasa wa Instagram wa Koffi Olomide wameonekana wakiwa location waki shot video ya ngoma hiyo mpya akiwa na Diamond Platnumz.

Kwenye hii clip fupi kipi kinakuvutia kwenye muonekano wa wasanii hawa wawili, Diamond Platnumz na Mopao Koffi Olomide…..?

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*