Darassa azindua album yake ‘Slave become A king

Darassa azindua album yake ‘Slave become A king.

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Darassa usiku w akuamkia leo amezindua album yake mpya yenye nyimbo 21 inayojuikana kwa jina la SLAVE BECOME A KING.

Katika album hiyo ameshirikisha wasanii tofauti tofauti wengine kutoka nje ya nchi na wengine ndani ya nchi. wakati awa tukio hilo Darassa ametoa misaada kwa watoto yatima.

Darassa ameeleza haya wakati anazindua album yake:-

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*