Counrty Boy (Country Wizzy) Signed Under Konde Music Worldwide

Msanii wa muziki tanzania Counrty Boy (Country Wizzy) Siku ya leo ametangazwa lasmi kuwa msanii wa label ya konde gang anayo millikiwa na Harmonize, Kiongozi wa label hiyo pa amewatangaza wasanii wengine wa wili Killy na Cheed ambao walitoka label ya msanii mkongwe Ali kiba Kings Music

Pia harmonize hakusita kutoa zawadi kwa msanii wake ibraah ya gari, bila kumsahau Counrty wizzy nae kupewa zawadi hiyo hiyo

Counrty Boy (Country Wizzy) pia leo amezindua rasmi Ep yake inaitwa The FATHER Ep

Konde Gang kwa sasa inakuwa imetimiza wasnii sita, Watano n wazawa wa Tanzania na Mwengine ni mzawa wa Nigeria, Wasanii hao ni

Harmonize – C.E.O kondemusic wordwde

Skales – Nigeria

Ibraah – Tanzania

Country Wizzy – Tanzania

Killy – Tanzania

Cheed- Tanzania

(Visited 1 times, 1 visits today)

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*

Trending: