newsroom

Ni kosa kurushiana wimbo wa msanii bila idhini yake, miaka 5 jela au faini milioni 5 – Polisi

Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Kinondoni, Dkt Ezekiel Kiongo amewataka wasanii kuanza kulinda kazi zao kwa kutoa taarifa kwa nyombo vya sheria pale wanapoona kazi zao za sanaa zimetumika bila makubaliano yoyote. Amesema hayo Alhamisi hii muda mchache baada ya kutoa elimu kwa wadau wa sanaa kwenye jukwa la Sanaa linaloandaliwa na @bass ta.tanzania juu […]

Je! Hii Inafanyaje Kazi kwa Wasanii?

Asilimia kubwa za takwimu ambazo mwaka ulio pita tulizipata ni asilimia kubwa ya wasanii wa mziki wanatengeneza kazi kubwa lakini wakiwa na asilimia 0% ya malipo yao ya kazi kupitia mitandao ambayo hupeleka kazi zao Wasanii wengi huetengeneza kazi bila kuwa na mlolongo wa kazi ambazo wao wanatakiwa ziwalipe bila kuangalia ukubwa wa watu walio […]

Je! Inachukua Nini kwa Wamiliki wa nyimbo Kupata Mapato

Kwa sasa mzikitap huwalipa wasanii kwa kupitia malipo ya matangazo, kazi ya msanii italipwa kutoka kwa watu walio sikiliza, mzikitap wanalipa wasanii kwa malipo mawili katika mwaka ambayo ni mwanzoni mwa mwaka na mwishoni mwa mwaka. ila kila baada ya miezi mitatu msanii atapatiwa matokeo ya kazi yake ambayo yamepatikana katika miezi hiyo ambayo kazi […]

Top music