News

Harmonize na Ujio wa Albamu Mpya ya ‘Arizona’

Bosi wa lebo ya Konde Gang Harmonize ameendelea kutoa habari njema kwa mashabiki wake baada ya kutangaza kuanza utengenezaji wa album yake mpya aliyoipa jina la ‘Arizona The Album’. Harmonize ambaye kwa sasa hupendelea kuitwa ‘Teacher’ ametoa taarifa hiyo kupitia akaunti ya Instagram. Nyota huyo amethibitisha hilo kwa kuchapisha video za mtayarishaji wa muziki anayeshirikiana […]

Listen to Olamide’s ‘Loose It’ New Song Featuring Eskeez

Olamide returns after the recent release of his acclaimed album, UY Scuti, with a brand new single in the form of “Loose It.” The new track sees the Nigerian heavyweight act linking up with producer and featured artist Eskeez, the man behind the boards on UY Scuti‘s standout single “Rock,” one of our Best Nigerian Songs of 2021 So Far. “Loose […]

Cuppy Unveils #CuppyCuts In Brand New Music Video

Cuppy reveals her jewellery line in a new music video with cameos from her sisters Tolani and Temi Otedola! Cuppy just dropped a teaser, introducing “Cuppy Cuts” her jewellery brand she says will launch before the end of the year – jewellery never looked so delicious. DJ, philanthropist, stylista, pink-haired muso Cuppy is joined by her sisters Tolani and Temi Otedola who also wear Cuppy Cuts […]

Dakota Kusainiwa na lebo ya DJNguto brand

Mtengezaji wa muziki wa kizazi kipya DJNguto na mmiliki wa Lebo ya DJNguto Brand leo wamemsainisha Dakota Mtuhatari Dakota ni msanii wa kizazi kipya wa singeli anaefanya vizuri nchini Tanzania. na nyimbo yake inayofanya vizuri ya Piga Makofi, amekubali kuingia makubalino hayo na brand hiyo ya DJNguto, kandarasi hiyo itamwezesha dakota kurecord na kusambaziwa kazi […]