Babu tale alivyokuwa Clouds Fm na kuwaambia ukweli kuhusu WCB kukata nyimbo zao kuchezwa kwao
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kaskazini Mashariki na mmoja ya meneja wa @diamondplatnumz @babutale siku ya jana alifanyiwa mahojiano na CloudsFM kupitia kipindi cha XXL na kuweka wazi sababu za kukataa nyimbo za wasanii wa WCB kuchezwa katika media hiyo.