Babalevo: #SHUSHA aliyomshirikisha @diamondplatnumz kufutwa Youtube na baadae kurudishwa.

Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva @officialbabalevo ameweka wazi kupata dili la kutangaza Chocolate pia ameeleza sababu zilizopelkea ngoma yake ya #SHUSHA aliyomshirikisha @diamondplatnumz kufutwa Youtube na baadae kurudishwa.

@officialbabalevo Ameeleza kuwa katika ngoma ya #Shusha yeye alichangia mil 1.4 huku ikitumia farasa zaidi ya 10 huku kila farasi akigharimu kiasi cha laki tisa kwa siku mbili.

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*